WATEJA 50 WA PROMOSHENI YA TIGO YA KUPIGA SIMU ZA KIMATAIFA WAZAWADIWA

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, Alice Maro (kushoto) akimkabidhi mteja Ally Mwaro tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi Nairobi Kenya, baada ya kuwa mshindi wa promosheni ya kupiga simu za kimataifa. Pia katika hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, Tigo iliwakabidhi zawadi mbalimbali wateja 49 walioshinda katika promosheni hiyo. Anayeshuhudia katikati ni Jacqueline Mnunduma Mratibu wa Miradi ya Tigo.
                                           Charles Muna wa Tabata akizawadiwa simu
                                 Mkazi wa Tabata, Ashura Kimbengele (kulia0 akikabidhiwa zawadi ya simu
                                      Said Mwerani wa Temeke Dar es Salaam, akipokea zawadi ya simu
                      Makson Mpangala  (kulia) wa Victoria akipokea zawadi ya simu
 Ephraem Mtuya (kulia) wa Mbezi Dar es Salaam  akipokea zawadi ya simu baada ya kuwa mmoja wa washindi 49 wa promosheni ya Tigo ya kupiga simu za kimataifa. Anayeshuhudia katikati ni Jacqueline Mnunduma Mratibu wa Miradi ya Tigo.
 Mkazi wa Bahari Beach Dar es Salaam, Ahmed Mohamed  akipokea zawadi ya simu baada ya kuwa mmoja wa washindi wa promosheni ya kupiga simu nje ya nchi.
  Baadhi ya washindi wa promosheni hiyo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuzawadiwa
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro akizungumza na baadhi ya wateja walioshinda katika promosheni hiyo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI