WAZIRI ABOOD AKUTANA NA MAASKOFU LEO

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohamed akifafanua jambo alipozungumza na Maaskofu mbalimbali kufuatia kwa matatizo yaliotokezea Zanzibar ya kuchomwa Moto kwa Makanisa mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohd Aboud Mohamed wakwanza kushoto akisalimiana na Askofu Mkuu wa Anglican Tanzania Dk Valentine Mokiwa baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao pamoja na Maaskofu mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
 
Askofu Mkuu  wa Anglican Tanzania Dk Valentine Mokiwa akifanya mahojiano na Muandishi wa BBC kuhusiana na  matatizo yaliotokezea Zanzibar ya kuchomwa Moto kwa Makanisa mbalimbali,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
 
Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA