AJALI YA MELI YA MV SKAGIT YASABABISHA BUNGE KUSITISHWA

Spika wa Bunge, Anne Makinda leo jioni amesitisha shughuli za bunge kufuatia ajali ya meli ya Mv SKAGIT, iliyozama leo katika Bahari ya Hindi ikitokea Dar es Salaam kwenda Pemba,'. Abiria wapatao 250 wanahofia kufa. Lakini habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu 12 wameopolewa wakiwa wamekufa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA