BINGWA POOL SHINYANGA APATIKANA

Bingwa wa mchezo wa pool mmoja mmoja (singles) Mkoa wa Shinyanga, Ndala Ndefu akicheza dhidi ya mpinzani wake Majaliwa Cyipilian wakati wa mashindano Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  yaliyofanyika katika Klabu ya Garden mwishoni mwa wiki.

Bingwa wa mchezo wa pool mmoja mmoja (Singles) Mkoa wa Shinyanga, Ndala Ndefu akionyesha kitita chake cha Shilingi laki tatu na nusu mara baada ya kutwaa ubingwa wakati wa mashindano Safari Pool Taifa ngazi ya Mkoa  yaliyofanyika katika Klabu ya Garden mwishoni mwa wiki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA