BONDIA IBRAHIM CLASS AJIFUA KUJIANDAA NA PAMBANO LAKE NA SIMBA WA TUNDURU IDI PILI

Bondia Ibrahimu Class (kulia) akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es salaam. Class ameanza mazoezi makali ikiwa ni maalum kujiandaa na pambano lake na Simba wa Tunduru, litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee. Picha Super D.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA