CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) CHATOA NOTISI SAA 48 KWA SERIKALI VINGINEVYO KUANZA MGOMO JUMATATU

 Rais wa chama cha walimu Tanzania (CWT)Gratian Mukoba (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo makao makuu ya chama cha walimu Tanzania (CWT)jijini Dar es salaam juu ya Baraza la (CWT) ambalo limetoa notisi ya saa 48 kwa serikali kuanzia jana tarehe 27 Julai,2012 saa 8.00 mchana baada ya saa hizo walimu wataanza mgomo rasmi kuanzia siku ya jumatatu tarehe 30 Julai,2012.hiyo imepeleka baada ya kura zote kupigwa .asilimia 95.7 ya wanachama na wanachama wote kuunga mkono mgomo huo.ni walimu wanaofundisha katika shule za awali,msingi,sekondari,maafisa walioko kwenye ukaguzi  wa shule na wanafunzi wa vyuo vya ualimu na maendeleo ya jamii, kulia ni makamu wa Rais (CWT) Honoratha Chitanda na kushoto Mweka hazina wa   
chama cha walimu Tanzania (CWT)Bw. Mohamed  Utaly


Pia Gratian Mukoba amewataka walimu kushiriki mgomo huo halali ambao umeitishwa na chama kwa mujibu wa sheria nakusema mgomo huo hauhusiani na zoezi la sensa.
.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*