DAKTARI SHEIN AMUAPISHA WAZIRI MPYA WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO. Aapisha pia kadhi wa rufaa Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akimuapisha Sheikh Daudi Khamis Salim kuwa Kadhi wa Rufaa Pemba ,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif AliIddi, akisalimiana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha
Waziri Mpya wa Miundombinu,Rashid Seif Suleiman, katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rashid Seif Suleiman,Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,(kulia) akibadilishana mawazo na  Sheikh Daudi Khamis Salim  Kadhi wa Rufaa Pemba,kabla ya kula kiapo mbele ya Rais wa
Zanzibar Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA