DK.SHUKURU KAWAMBWA  AIPONGEZA TIGO KUTOA SH. MIL 26  ZA MADAWATI 745

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi 26,000,000 kwa mwakilishi wa Hassan Maajar Trust (HMT) na Andrew Hogson, Kaimu Meneja Mkuu wa tiGo akishuhudia. Fedha hizo zitatumika kununulia na kugawa madawati katika shule tano kutoka wilaya za Makete na Njombe. Shule zitakazonufaika ni Maendeleo (135), Umoja (196), Kumbila (200), Makonde (152) na Mbela (37).
Mtaalamu wa Promosheni wa kampuni ya tigo Edward Shila akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa kukabidhi fedha za tigo tuchange kwaajili ya manunuzi ya madawati.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA