DROO YA 10 VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO HII HAPA

Meneja wa bia ya Serengeti bw. Allan Chonjo katikati akiongea kwa njia ya simu ya mezani na  mmoja wa washindi katika droo ya kumi ya promosheni ya SBL iliyochezeshwa leo katika ofisi za kampuni hiyo maeneo ya Oysterbay jijini hapa. Kulia ni makguzi kutoka bodi ya taifa ya michezo ya kubahatisha  bw Bakari Maggid, na kushoto ni mwakilishi kutoka PWC bi. Cheryl Vroom.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti bw. Ephraim Mafuru akichezesha droo ya kumtafuta mshindi wa Gari mpya aina ya FORD FIGO  inayoshindaniwa kupitia promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo na SBL.kulia ni mkaguzi wa michezo ya kubahatisha kutoka bodi ya taifa ya bahati na sibu, na kushoto ni wawakilishi wa PWC.

Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti katikati akiongea na waandishi wa habari mda mchache baada ya kuchezesha droo ya  kumi katika promosheni ya vumbua hazina chini ya  kizibo na sbl. Kulia ni Meneja wa mawasiliano wa kampuni hiyo bw  Imani Lwinga na kushoto ni meneja wa bia ya Serengeti bw. Allan Chonjo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.