EPIQ EPIQ BONGOOOOOO


Hadi kufikia mida ya saa 12:00 jioni kumekuwa na zaidi ya washiriki 1100 ambao wameweza kukutana na majaji na wengine zaidi ya 150 wakiombwa warudi tena siku ya kesho ili kufanyiwa usaili. Mwamko wa washiriki umekuwa wa kushangaza. Kesho majaji watakutana na baadhi ya washiriki ambao hawakupata nafasi ya kuwaona majaji leo ikiwa ni pamoja na kuchagua watano wakali kutoka Mwanza watakaoenda kuwakilisha mkoa huu.
Kaaazi kwelikweli mistari inavyokuwa migumu kwa washiriki majaji hulazimika kujinyoosha.

Mr Sajid Khan Zantel Chief Commercial Officer, Deepak Gupta Zantel's Director of Marketing and Mr. Wilson Kabwe Mwanza City Directo (Standing Up) discussing with Kwanzaa City Counselors
Washiriki kwenye folemi.
Dah nimechemka!

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA