FILAMU YA SAYLA YA KUCHANGIA MATIBABU YA SAJUKI KUZINDULIWA ARUSHA

 Mmiliki wa Blogu ya Full Shangwe, John Bukuku (kulia), akimkabidhi mke wa Msanii wa Filamu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma msaada wa sh. 100,000 za kusaidia matibabu ya Sajuki. Msaada huo ulitolewa leo jijini Dar es Salaam, katika mkutano wa wasanii wa filamu wa kutangaza ziara mikoani kuonesha filamu  mpya ya 'Sayla' ambapo fedha zitakazopatikana zitasaidia matibabu ya Sajuki. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
                        Anjela Karashani akifafanua jambo wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Wastara Juma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA