Keki ya Spika Anne Makinda
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Wakiwa na Keki ya Spika Anne Makinda Muda mfupi kabla ya kumkabidhi
 Spika Anne Makinda akipokea keki kwa furaha kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge Mjini Dodoma leo.
  Spika wa Bungbe Anne Makinda akikata keki kusherekea siku yake ya kuzaliwa leo mbele ya wafanyakazi mbalimbali wa ofisi ya bunge mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Anne Makinda akikata keki tayari kuwalisha baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
Spika wa Bunge Anne Makinda akimlisha  keki mmoja kati ya  wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa
 Spika wa Bungbe Anne Makinda akipongezwa na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya bunge mjini Dodoma leo wakati wa sherehe yake ya kuzaliwa.Picha Zote na Prospect Minja-BUNGE

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA