IJUE KALENDA YA MATUKIO YA TFF

          SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

KALENDA YA MATUKIO 2012-13




TUKIO TAREHE
KIPINDI CHA KWANZA CHA MATAYARISHO YA MSIMU 01 JUNI HADI 20 AGOSTI 2012
KIPINDI KIKUU CHA MAPUMZIKO KWA WACHEZAJI  01 JUNI HADI 30 JUNI 2012
KIPINDI CHA KWANZA CHA UHAMISHO 15 JUNI HADI 30 JULAI 2012
KUTANGAZA WACHEZAJI WA KUACHWA (SIO WA LIGI KUU) 15 JUNI HADI 30 JUNI 2012
KUTANGAZA WACHEZAJI WATAKAOSITISHA MIKATABA  15 JUNI HADI 30 JUNI 2012
USAJILI WA KWANZA 15 JUNI HADI 10 AGOSTI  2012
KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 11 AGOSTI HADI 18 AGOSTI 2012
KUTHIBITISHA USAJILI HATUA YA AWALI 19 AGOSTI HADI 20 AGOSTI 2012
USAJILI HATUA YA PILI 21 AGOSTI HADI 4 SEPTEMBA 2012
KUTHIBITISHA USAJILI HATUA YA PILI 5 SEPTEMBA HADI 6 SEPTEMBA 2012
KUTAYARISHA TIMU KIPINDI CHA KWANZA  01 JULAI HADI 20 AGOSTI 2012
MECHI ZA KIRAFIKI ZIARA NDANI NA NJE YA NCHI 01 JULAI HADI 20 AGOSTI 2012
KUTOA RATIBA YA LIGI KUU  23 JULAI 2012
KIPINDI CHA KWANZA CHA MASHINDANO 25 AGOSTI HADI 04 NOVEMBA 2011
NGAO YA HISANI KUCHEZWA MIKOA YOTE KUFUNGUA MSIMU 25 AGOSTI 2012
LIGI KUU YA VODACOM  MZUNGUKO WA KWANZA KUANZA 01 SEPTEMBA 2012
LIGI DARAJA LA KWANZA -NYUMBANI NA UGENINI KUANZA 15 SEPTEMBA HADI 04 NOVEMBA 2012
LIGI YA TAIFA
NGAZI YA WILAYA KUANZA - MIKOA YOTE 08 SEPTEMBA HADI 31 OKTOBA 2012
LIGI YA WANAWAKE
NGAZI YA WILAYA KUANZA - MIKOA YOTE 08 SEPTEMBA HADI 31 OKTOBA 2012
KOMBE LA FA
HATUA YA AWALI - NGAZI YA WILAYA NA MKOA 24 SEPTEMBA 2012 HADI 12 MEI 2013



MASHINDANO YA KIMATAIFA KWA VILABU
KAGAME CUP JULY 2012.
MASHINDANO YA CAF YA LIGI YA MABINGWA  JUL, AUG, SEPT, OCT, NOV,DEC, 2012
MASHINDANO YA KOMBE LA CAF JUL, AUG, SEPT, OCT, NOV, DEC, 2012
MICHEZO YA KIRAFIKI NA MASHINDANO YA TIMU ZA TAIFA
MCHEZO WA KIRAFIKI (TAREHE YA FIFA) AUG, NOV, 2012
MASHINDANO YA CAF/FIFA (TAIFA STARS) JUNI, SEP, OKT,2012
MASHINDANO YA KUFUZU FAINALI ZA CHAN SEPT, OKT, 2012
MASHINDANO  CAF YA KUFUZU FAINALI ZA WANAWAKE JUNI, 2012
MASHINDANO YA KUFUZU FAINALI ZA AFCON JUNI, AOG, SEPT, OKT, 2012
MASHINDANO YA CAF KUFUZU FAINALI ZA U.20 JUNI, JULAI, SEPT, 2012
MASHINDANO YA CAF KUFUZU FAINALI ZA U.17 SEPT, OKT, 2012
CECAFA KARUME CUP U.20

CECAFA CUP U.17 AGUSTI, 2012
CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP  NOVEMBA, DESEMBA 2012 -KENYA
FAINALI ZA WANAWAKE SEPTEMBA 2012 - EQUATORIAL GUINE



MASHINDANO MENGINE
KOMBE LA KILIMANJARO LAGER (TBL) 23 JULAI HADI 06 AUGOSTI 2012
KOMBE LA BANK ABC 01 AGOSTI HADI 19 AGOSTI 2012
SHIMUTA NOVEMBA 2012
SHIMIWI OKTOBA 2012
MASHINDANO YA VIJANA - U.14
NGAZI YA WILAYA NA MKOA - MIKOA YOTE NOVEMBA NA DESEMBA 2012
MSHINDANO YA TAYSA
MASHINDANO KUFANYIKA  NOVEMBA -DESEMBA 2012
MASHINDANO YA SHULE - VYUO
MASHINDANO YA UMISHUMTA

MASHINDANO YA UMISETA  JUNI, 2012
MASHINDANO YA SHIMIVUTA DESEMBA 2012
LIGI YA VIJANA WA LIGI KUU YA VODACOM U.20
LIGI YA VIJANA KUCHEZWA 10 NOVEMBA HADI 25 NOVEMBA 2012



KIPINDI KIFUPI CHA MAPUMZIKO  15 NOVEMBA HADI 15 NOVEMBA 2012



TUKIO TAREHE
KIPINDI CHA PILI CHA MATAYARISHO YA MSIMU- 01 DESEMBA 2012 HADI 10 JANUARI 2013
KIPINDI CHA PILI CHA UHAMISHO 15 NOVEMBA HADI 30 NOVEMBA 2012
KIPINDI CHA PILI CHA USAJILI 15 NOVEMBA HADI 15 DESEMBA 2012
KUTANGAZA WACHEZAJI WA KUACHWA (SIO WA LIGI KUU) 15 NOVEMBA HADI 22 NOVEMBA 2012
KUTANGAZA WACHEZAJI WATAKAOSITISHA MIKATABA  15 NOVEMBA HADI 22 NOVEMBA 2012
KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 16 DESEMBA HADI 23 DESEMBA 2012
KUTHIBITISHA USAJILI  27 DESEMBA HADI 28 DESEMBA 2012
KUTAYARISHA TIMU KIPINDI CHA PILI 01 DESEMBA 2012 HADI 31 DESEMBA 2012 
MECHI ZA KIRAFIKI ZIARA NDANI NA NJE YA NCHI 01 DESEMBA 2012 HADI 12 JANUARI 2012
KIPINDI CHA PILI CHA MASHINDANO - 01 JAUNARI HADI 31 MEI 2013
KOMBE LA MAPINDUZI 05 JANUARI HADI 12 JANUARI 2013
LIGI KUU YA VODACOM MZUNGUKO WA PILI KUANZA 19 JANUARI HADI 28 APRILI 2013
LIGI DARAJA LA KWANZA (FAINALI) KUCHEZWA 26 JANUARY HADI 16 MARCH 2013
LIGI YA TAIFA
NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 05 JANUARI HADI 20 FEBRUARI 2013
NGAZI YA KANDA KUCHEZWA  01 MACHI HADI 25 MACHI 2013
LIGI YA WANAWAKE
NGAZI YA MKOA KWA MIKOA YOTE KUCHEZWA 15 NOVEMBA HADI 20 DESEMBA 2012
NGAZI YA TAIFA KUCHEZWA  26 JANUARI HADI  24 FEBRUARY 2013
COPA COCACOLA
USAMBAZAJI WA FOMU NA USAJILI 01 JANUARI HADI 30 JANUARI 2013
MASHINDANO NGAZI YA WILAYA KUCHEZWA 05 FEBRUARI HADI 30 MACHI 2013
MASHINDANO NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 15 APRIL HADI 30 APRIL 2013
KUANDAA TIMU KWA AJILI YA FAINALI YA TAIFA 05 MEI HADI 30 MEI 2013
KOMBE LA FA
 FAINALI ZA KOMBE LA FA 12 MEI 2013
MASHINDANO MENGINE
MASHINDANO YA MAJESHI MACHI 2013









MASHINDANO YA KIMATAIFA KWA VILABU
MASHINDANO YA KOMBE LA CAF FEB, MARCH, APRIL 2013
MASHINDANO YA CAF YA LIGI YA MABINGWA  FEB, MARCH, APRIL 2013
CECAFA KAGAME CUP JULY, 2013






KOMBE LA TAIFA
MASHINDANO NGAZI YA MKOA KUCHEZWA 05 APRILI HADI 20 APRILI 2013
MATAYARISHO YA KWANZA YA TIMU YA MKOA 22 APRILI HADI 04 MEI 2013
KUWASILISHA USAJILI WA TIMU YA MKOA-TFF 27 APRILI 2013
KUPITIA MAJINA NA KUTANGAZA PINGAMIZI 29 APRILI HADI 05 MEI 2013
KUPITISHA USAJILI  05 MEI 2013
MASHINDANO NGAZI YA TAIFA- MAKUNDI 05 MEI HADI 12 MEI 2013
MATAYARISHO YA PILI YA TIMU YA MKOA 13 MEI HADI 18 MEI 2013
FAINALI NGAZI YA TAIFA  21 MEI HADI 27 MEI 2013
MICHEZO YA KIRAFIKI NA MASHINDANO YA TIMU ZA TAIFA
MCHEZO WA KIRAFIKI (TAREHE YA FIFA) FEB, 2013
MASHINDANO YA CAF/FIFA (TAIFA STARS) MARCH, 2013

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.