JK ATEMBELEA SABASABA

 Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakicheza mchezo wa bao walipotembelea banda la Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania (Shimbata), kwenye Maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam
 JK akitembelea banda la JWTZ
Rais Jakaya Kikwete (katikati), akimuelekeza jambo Ofisa Masoko Mkuu wa mbegu za miti kutoka Mkoa wa Morogoro, John Mtika (kushoto), alipotembelea kitalu cha miti kilichopo kwenye banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, alipotembelea Maonesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kulia ni Mama Salma Kikwete.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.