KATIBU Mkuu wa CCM, Wlson Mukama, akizawadiwa na kiongozi wa ujumbe wa Chama Cha Kikomusti cha China, Ma Wen baada ya mazungumzo yao.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Wilson Mukama, akizungumza na ujumbe wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, 
.Ujumbe huo unaongozwa na Ma Wen (wa pili kulia), ambaye ni Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Ukaguzi wa Nidhamu ya CPC. Wajumbe wengine na vyeo vyao katika mabano ni Keng Xiangren (Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Usimamizi), Tian Chengjiang (Mkurugenzi wa Taasisi ya Usimamizi katika Mkoa wa Ning Xia), Ding Bodong (Mkurugenzi wa Usimamizi katika jimbo la Hai Nau), Dai Hui (Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala katika Wizara ya Usimamizi) na Cai Wei, ambaye ni Mkuu wa Sehemu ya Idara ya Uhusiano wa Kimataifa katika wizara hiyo.  

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.