KIVULE VETERANI WAANZA MAZOEZI YA KUKATA NA SHOKA Timu ya Veterani

TIMU ya Kivule Veteran imeanza mazoezi ya nguvu leo katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Misitu, Ilala, Dar es Salaam. Pichani ni matukio mbalimbali ya mazoezi hayo pamoja na timu tatu za veterani, vijana na watoto ambao aslimia kubwa wanaishi katika eneo hilo, lililopo katika Jimbo la Uchaguzi la Ukonga. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA MMILIKI WA BLOG YA KAMANDA WA MATUKIO.


Add caption
Timu ya Kivule Veterani iliyoanzaisha hivi karibuni
Mmiliki wa Blog hii, Kamanda Richard Mwaikenda (aliyesiama kushoto) ni miongoni mwa wachezaji wa timu hiyo ya Kivule Veterani
Timu ya vijana ya Kivule
Timu ya Watoto ya Kivule


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA