Mabondia Japhet Kaseba na Francis Cheka wapima uzito tayari kwa mpambano wao kesho

Bondia Japhert Kaseba (kushoto) na Francis Cheka wakioneshana umwamba wa kila mmoja kutaka kumchakaza mwezake wakati walipopima uzito jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya mpambano wao wakati wa Tamasha la Matumaini utakaofanyika katika Uwanja wa Taifa kesho Jumamosi Julai 07.2012. Katikati ni Mratibu wa mpambano huo, Kaike Siraju.

Baadhi ya Mabondia na Makocha wakisubiri kupima uzito kwa mabondia.

Bondia Fransic Cheka akipima uzito.

Mratibu wa mpambano huo, Kaike Siraju (katikati) akiwainua mikono juu mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Francis Cheka baada ya kumaliza kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao. 

Bondia Francis Cheka akipima Afya.  Picha na superdboxingcoach.blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA