MACHESTER UNITED WACHUKUA KOMBE LA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA


Ilao Ejakait Meneja wa Uendeshaji upande wa mauzo kampuni ya bia ya Serengeti akikabidhi zawadi kombe kapteni wa timu ya mashabiki wa klabu ya Manchester United ya Uingereza katika bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza lililofanyika jana kwenye viwanja vya Sigara TCC Chang'ombe jijini Dar es salaam ,baada ya timu ya mashabiki hao kuwafunga mashabiki wa timu ya Bacelona na kuchukua kombe hilo Bonanza hilo lilishirikisha mashabiki wa vilabu mbalimbali vya Ulaya, katikati ni Allan Chonjo Meneja wa bia ya Serengeti Lager na kulia ni Bahati Singh Joseph Mahawi meneja Mauzo wa Serengeti
;
Kapten wa timu ya mashabiki wa Manchester United akinyanyua juu juu kombe lao mara baada ya timu ya mashabiki hao kuwafunga mashabiki wa timu ya Bacelona na kuchukua kombe hilo kulia ni Ilao Ejakait Meneja Uendeshaji na  mauzo  kampuni ya bia ya Serengeti Allan  Chonjo Meneja wa bia ya Serengeti Lager
Mashabiki wa Manchester United wakishangilia kwa nguvu baada ya kukabidhiwa kombe lao.

Meneja mauzo wa kampuni ya bia ya Serengeti Joseph Mahawi akikabidhi kombe la mshindi wa pili timu ya mashabiki wa Barcelona jana kwa kapten wa timu hiyo Michael Mashoto mara baada ya kuchukua nafasi ya pili katika bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza kwenye viwanja vya TCC Chang;ombe kwa kufungwa na Manchester United
Mashabiki wa Manchester United wakishangilia baada ya kuingia fainali.
Mashabiki wa Machester United wakiimba kwa furaha. Kwa hisani ya Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA