MAMA MWANAMWEMA SHEIN ATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE LIMBANI JANA

 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi futari Mzee wa Nyumba ya Wazee Limbani Hamadi Ali, wakati alipofika katika makazi yao kuwatembelea na kutoa  Futari kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani,(katikati) ni Waziri wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawanke na Watoto Bi Zainab Omar.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wazee wa Nyumba ya Wazee Limbani Wete Pemba alipofika kuwatembelea na kutoa futari kwa Wazee hao jana.
 Baadhi ya Wazee wanaoishi katika  Nyumba ya Wazee Limbani Wilaya ya Wete Pemba, wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, alipofika kuwatembelea na kutoa futari kwa ajili ya Mwezi  mtukufu wa
Ramadhani jana.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Viongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,  Pemba, baada ya kuwatembelea Wazee wa Limbani Wete na kutoa Futari kwa Wazee hao jana.Picha zote na Othman
Maulid,Pemba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA