MBONGO AENDELEA KUTOA DOZI KWA WAZUNGU:

Bondia mtanzania Omary Kimweri (kushoto) ambaye anaishi nchini Australia akimtandika Yodpichai Sithsaithong, kwenye pambano lililofanyika The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia JULY13, 2012.Huku promota wa pambano hilo akiwa Brian Amatruda Omari Kimweri bondia huyo mtanzania amekuwa akifanya vizuri katika mapambano yake nje ya nchi kutokana na umairi wake wa mchezo wa masumbwi mda mrefu na amekua akishi Australia kwa kutegemea mchezo huo
Kimweri akiendeleza mashambulizi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA