MBUNGE WA CHADEMA, MOSES MACHALI ATOLEWA BUNGENI AKIPINGA KIPIGO CHA DK. ULIMBOKA

Mbunge wa Kasulu , Moses Machali, ametolewa nje ya Bunge na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge, baada ya kupinga kipigo cha Dk. Ulimboka.

Hatua hiyo ilitokea wakati wa majibizano kati ya wabunge wa CCM na Chadema. ambapo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stellah Manyanya aliwaambia wana Chadema kuwa wanahusika kukuza mgomo wa madaktari nchini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA