MELI ZA UOKOAJI ZAISHIWA MAFUTA

Habari zilizopatikana kupitia Televisheni  ya TBC,  kwamba meli na boti zinazosaidia kopoa maiti na walionusurika, zimeishiwa mafuta.

Serikali inahaha kutoa suluhisho la tatizo hilo.

Kamanda wa matukio itaendelea kuwapasha habari zaidi za tukio hilo kadri zitavyokuwa zinapatikana.

Tayari Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Mchimbi amewasili Zanzibar, Pamoja na Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA