MKUTANO WA NHC NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAFANYIKA MOROGORO

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu (kushoto), akizungumza na waandishi wa hariri wa vyombo vya habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa shirika hilo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa likimeo la miradi mbalimbali katika ujenzi wa nyumba za biashara katika ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani Morogoro.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akifafanua jambo wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika mkutano wa shirika hilo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa likimeo la miradi mbalimbali katika ujenzi wa nyumba za biashara katika ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani Morogoro.

 Mkurugenzi Miliki katika shirika la nyumba la taifa (NHC) Hamad Abdalla akifafanua jambo kuhusu kitengo hicho wakati wa mkutano huo kulia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga.

 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda kushoto akizungumza jambo katika mkutano wa shirika la nyumba la taifa (NHC) na wahariri wa vyombo vya habari wenye lengo la kuwaelezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo likimeo la miradi ujenzi ya nyumba za biashara ambao umefanyika mkoani Morogoron katika ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani hapa, kulia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga.

Mhariri Msanifu Mkuu wa gazeti la Mwananchi  Communications Ltd (MCL) Rashid Kejo akichangia jambo katika mkutano huo.

Mhariri wa gazeti la Daily News, Marycelina Masha akichangia jambo katika mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA