MSAMA ATOA MSAADA WA BAISKELI 3 KWA WATU WENYE ULEMAVU

 Mratibu wa Tamasha la Pasaka,  Alex Msama akimkabidhi  William Dahani, msaada wa baiskeli iliyonunuliwa kutokana na sehemu ya mapato ya tamasha lililofanyika mwaka huu. Msama alitoa baiskeli zingine mbili kwa watu wenye ulemavu katika hafla iliyofanyika, Dar es Salaam leo. Baikeli hizo tatu zina thamani ya sh. mil. 1.5. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Dahani akiondoka na baiskeli yake baada ya kukabidhiwa na Msama
                             Msama akimkabidhi Dahani fedha za kufanyia marekebisho baikeli hiyo
                         Msama akimsaidia  Salim Abilu baada ya kumpatia msaada wa baiskeli
                                                     Abilu akishukuru kupata msaada huo
                                  Msama akielezea mipango zaidi ya kutoa msaada kwa wananchi wenye matatizo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA