MTAKATIFU THOM ASAINI MIAKA MIWILI YANGA, ASEMA HAKUJA KULA BATA, AMEKUJA KUPIGA KAZI

Kocha mpya wa Yanga, Thom Saintfiet jioni hii amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha klabu hiyo na baada ya kusaini, akasema hakuja Tanzania ‘kustarehe’ amekuja kufanya kazi na sera yake ni ushindi. Anataka ushindi na mataji. Amesema jaribio lake la kwanza ni kutetea ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, katika michuano inayoanza Julai 14, Dare s Salaam (Habari kamili baadaye). Tazama picha za kusaini kwake Mkataba makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA BIN ZUBEIRY BLOG
Kulia ni Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa, katikati Thom anasaini. Kushoto The Don Seif Ahmad 'Magari'


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA