MTOTO JOEL JOSEPH ANAYEISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU AONGOZA MUHULA WA KWANZA DARASA LA SABA SHULE YA UNGINDONI

 Mwenyekiti wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha New Hope Family Omar Rajab (katikati) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es alaam kuhusu mtoto Joel Joseph (hayupo pichani)  kutoka Kituo hicho alivyofanya vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula na kushika nafasi ya kwanza darasa la saba katika shule ya Msingi Ungindoni wilayani  Temeke . Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).

 Mwanafunzi wa darasa la saba katika Joel Joseph shule ya Msingi Ungindoni wilayani  Temeke anayelelewa katika Kituo cha New hope Family akipokea zawadi ya vitabu na madaftari jana jijini Dar es salaam, kutoka kwa mshauri wa Kituo hicho Michael Lugendo (wa pili kulia) ikiwa ni baada ya kufanya  vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula darasa la saba  na kushika nafasi ya kwanza katika shule ya Msingi Ungindoni wilayani  Temeke . Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto), Mwenyekiti wa Kituo Omar Rajab (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).

Mshauri wa kituo cha Kulelea watoto waishio katika Mazingira Magumu cha New Hope Michael Lugendo (wa pili kulia) akiwaonyesha waandishi wa habari vitabu na daftari mbalimbali ambazo walimkabidhi Mwanafunzi wa darasa la saba katika Joel Joseph shule ya Msingi Ungindoni wilayani  Temeke anayelelewa katika Kituo cha New hope Family baada ya kufanya vizuri katika mtihani wake wa kumaliza muhula licha ya kuishi katika mazingira magumu ja jijini dar es salaam.Wengine ni Mlezi Kituo hicho Mariam Pius(kushoto), Mwenyekiti wa Kituo Omar Rajab (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Kituo hicho Hashim Yusuf Mahmoud (kulia).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.