Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa upandaji Miti Tanga

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Kapt. Honest Ernest Mwanossa akipanda mti kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa upandaji miti katika eneo la kiwanda cha Tanga Cement, Pongwe, Tanga juzi. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Halima Dendegu (katikati) akiwa na Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kapt. Honest Ernest Mwanossa (kulia) baada ya kuzindua mradi wa upandaji miti katika eneo la kiwanda cha kampuni hiyo jijini Tanga juzi. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha wa kampuni ya Tanga Cement, Edgar Mlenge akipokea mwenge kutoka kwa wakimbizaji katika eneo la kiwanda chao wakati wa uzinduzi wa mradi wa upandaji miti katika eneo hilo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.

Ofisa Utawala wa Tanga Cement, Changwa Mjella, akipokea mwenge wa uhuru ulipowasili katika eneo la kiwanda chao tayari kwa hafla ya uzinduzi wa mradi wa miti. Mikaratusi 10,000 na mitiki 3600 imepanda katika eneo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.