NMB YAWAZAWADIA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'JENGA MAISHA YAKO NA NMB'

 Wateja wa Benki ya NMB, Victoria Maliseli kutoka Tabora na  Ramadhan Mguya wa Mbagala Dar es Salaam, wakifurahia kupata zawadi ya mabati 50 kila mmoja baada ya kushinda promosheni ya Jenga Maisha yako na NMB. Hafla hiyo ya kuwazwadia washindi iliyofanywa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano , Imani Kajula ilifanyika leo katika tawi la NMB Uwanja wa Ndege, Dar es Salaam.
 Washindi wa zawadi ya saruji ambapo kila mmoja anapata tani moja. Kutoka kulia ni Richard Makala wa Yombo Dovya, Rose Mandela na Rehema Michael wa Kijitonyama.
                                                         Washindi wakiwa na furaha
 Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa Benki ya NMB, Imani Kajula (kushoto) akimkabidhi Rose Mandera zawadi ya tani moja ya saruji.
                                     Kajula akimkabidhi Rehema Mohamed zawadi ya tani moja ya saruji
                                   Kajula akimkabidhi Ramadhan Mguya zawadi ya mabati 50
                                      Kajula akimkabidhi Victoria Maliseli zawadi ya mabati 50
 Mkuu wa Idara ya Masoko na Uhusiano wa NMB, Imani Kajula akijadiliana jambo na maofisa wake, Jessica Sanga (kulia) na Isack Mgwassa wakati wa hafla hiyo.
KAJULA AKIELEZEA MANUFAA YA PROMOSHENI HIYO KWA WATEJA WAKE. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA