PINDA AKUTANA NA UJUMBE TOKA MAREKANI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama  katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132. Kulia ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfoonso E. Lenhardt.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama  katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132.Kulia ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfonso E. Lenhardt. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Mshauri wa Masuala ya Usalama  katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman (kushoto)baada ya kutia saini makubaliano ya awali  kati ya Marekani  na tanzania , ofini kwake jijini Dar es salaam Julai 13, 2012.Wapili kulia  ni Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfonso E. Lenhardt. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA