RAIS DK. SHEIN AFUNGUA MSIKITI WA KIBOJE KATI UNGUJA

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akikata utepe
kama ishara ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa Masjid Lhudda wa Kiboje
Mwembeshauri,Wilaya ya Kati Unguja leo, (wa kwanza kulia) Mufti wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, [Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]
Miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya
Ufunguzi wa Msikiti wa Ijumaa Masjid Lhudda,wa Kiboje
Mwembeshauri,Wilaya ya Kati Unguja uliofunguliwa na Rais wa zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  leo.
[Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa nasaha zake mbele ya waumini wa Dini
ya Kiislamu wakati wa sherehe ya ufunguzi wa  Msikiti wa Ijumaa Masjid
lhudda wa Kiboje Mwembeshauri Wilaya ya Kati Unguja leo. [Picha na
Ramadhan Othman,ORZ.]

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mufti wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi,pamoja na viongozi wengine alipowasili katika Msikiti
wa Ijumaa Masjid Hudda wa Kiboje Mwembeshauri Wilaya ya Kati Unguja
leo [Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]
  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na baadhi ya
wananchi, Waislamu na viongozi alipowasili katika Msikiti wa Ijumaa
Masjid lhudda wa Kiboje Mwembeshauri Wilaya ya Kati Unguja
leo,alipofika kuufungua rasmi. [Picha na Ramadhan Othman,ORZ.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA