Rais wa Rotary duniani azuru Tanzania


 Rais wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mzizima, Rotarian Ambrose Nshala (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa, Rotarian Sakuji Tanaka kutoka Japani wakati wa hafla ya kumkaribisha nchini iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Hafla hii ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro.
 Rais wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mzizima, Rotarian Ambrose Nshala (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya wa wanachama wengine wa klabu ya Rotary, katika wa hafla hiyo.

Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa, Rotarian Sakuji Tanaka (kushoto) kutoka Japan akiwa kwenye hafla ya kumkaribisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana akiwa ameambatana na mkalimani wake.  Kulia mmoja wa viongozi wa juu wa Rotary kutoka Kenya, Geeta Manek.
Kikundi cha sanaa kikitoa burudani katika hafla ya kumkaribisha Rais wa Klabu ya Rotary Kimataifa Rotarian Sakuji Tanaka jijini  Dar es Salaam jana.Kwa hisani ya Father Kidevu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA