Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein Arejea

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi,(wa pili kulia) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda, na Viongozi mbali mbali wa  vyama
na Serikali,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,
wakati alipokuwa akirejea Nchini,akitokea nchini Uimgereza kwa ziara
maalum,katika safari hiyo alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein,pamoja na Maofisa  wa Serikali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa
 vyama na Serikali,katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume, wakati alipokuwa akirejea Nchini,akitokea nchini Uimgereza kwa
ziara maalum,katika safari hiyo alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema
Shein,pampja na Maofisa  wa Serikali.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA