SEND OFF YA EMMY MBIJIMA YAFANA DAR

 Bibi Harusi mtarajiwa, Emmy Mbijima akitengezwa nyere katika saloon ya Ebenezer, Jengo la Benjamin Mkapa, katikati ya Jiji la Dar es Salaam jana.
Mrembo Emmy akiwa tayari kwa ajili ya Send Off iliyofanyika Ukumbi wa Lukolo, Segerea, Dar es Salaam.
                                                                                        Taswira za Emmy
Wapambe wa Send off ya Emmy  wakiwa kwenye pozi la nguvu
 Emmy akikata keki wakati wa Send Off, ambapo siku hiyo pia ilikuwa siku ya kuzaliwa kwake.
Emmy akilishwa keki na mpambe wake, Irene  Hochimin
                                                   Emmy akimlisha keki mpambe wake Irene
Emmy akwakabidhi wazazi wake, Mzee Didas na mamake Magreth
                                                  Emmy akiwakabidhi keki wakwe zake
            Emmy akigongeana glasi na mpambe wake Irene. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.