TAMASHA LA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA LAPAMBA MOTO MJINI MBEYA

Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Manchester City ya Uingereza wakichuana vikali na mchezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Real Madrid huku wakati wa tamasha la mashabiki wa vilabu vya Ulaya linalojulikana kama Serengeti Fiesta Soccer Bonanza, ambalo linafanyika jijini Mbeya katika viwanja vya Chuo cha Uhasibu (TIA) na kushirikisha timu za mashabiki wa vilabu vya Manchester United, Liver Pool, Bayern Munichen, Asernal, Manchester City Barcelona, Chealsea na Real Madrid, Mshindi katika bonaza hilo atajishindia shilingi 500,000. Chanzo; Full Shangwe Blog
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Barcelona wakichuana vikali na wachezaji wa timu ya mashabiki wa Chealsea katika bonanza hili timu hizo ndiyo zilizofungua dimba.
Mratibu wa Serengeti Fiesta Soccer Bonanza Shafii Dauda akitoa maelekeza kwa timu za mashabiki wa Chealsea na Barcelona kabla ya kuanza kwa mtanange wao.
Timu ya mashabiki wa Manchester Unitedi wakishangilia wakati wimbo wao ulipokuwa ukipigwa.
Timu ya Mashabiki wa Chealsea nao wakiimba wimbo wao kabla ya kuanza kwa bonanza hilo.
Timu ya mashabiki wa Arsenal wakiimba wimbo wao huku wakishagilia.
Nao Barcelona hawakuwa nyuma wakirukaruka kwa furaha mara baada ya kupigiwa wimbo wao.
Hawa ni Real Madrid kama unavyowaona katika picha wakishangilia na kucheza wakati wimbo wao ukipigwa.
LiverPoool wakishangilia kwa nguvu wimbo wao.
Mwamuzi wa mchezo huo akitoa maelekezo kwa timu za Chealsea na Barcelona kabla ya kuanza kwa mchezo huo.
Timu zote zikiwa zimejipanga tayari kwa kupigiwa nyimbo zao kabla ya kuanza kwa bonanza hilo kwenye viwanja vya TIA Mbeya.
Peter Kabaisa mmoja wa wafanyakazi akigawa jezi za kuchezea kwa makapteni wa timu hizo.
Mshauri nasaha wa masuala ya ukimwi Flora George  akitoa elimu kwa maadhi ya mashabiki waliofika katika banda la KIHUMBE
Mmoja wa watangazaji wa Clouds mwenye maneno mengi na vituko Mbwiga wa Mbwiguke ambaye ni shabiki wa timu ya Liver Pool akitoa tambo zake kwa vituko na kuvuta mashabiki wengi kumsikiliza katika bonanza hilo.
Timu ya Bayern Munichen ikishagilia kwa nguvu kufurahia wimbo wao katika bonanza hilo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA