TIGO YAKAMILISHA DROO YA MWISHO YA TIGO BEATZ

Mtaalamu wa promosheni na udhamini wa Tigo Edward Shilla akzizungumza na waandishi wa habari kuhusu kumalizika kwa promosheni ya Tigo beats ambapo kwenye droo ya leo amepatikana mshindi wa pili Hamisi Athumani Mkazi wa Morogoro aliyejishindia Tsh 10Millioni, kutoka kulia ni Afisa habari wwa tigo Alice Maro, Chiku Saleh kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha na Afisa wa viwango wa Tigo Pamela Shelukindo.
Mtaalamu wa promosheni wa Tigo Edward Shilla (kushoto) na Afisa wa viwango wa Tigo Pamela Shelukindo, wakitabasamu baada ya kusikia furaha ya mshindi wa shindano la tigo beats mara baada ya kuchezeshwa droo ya mwisho.

Pamela akipiga simu kwa mshindi huyo.
Uhakiki wa namba ya mshindi unafanyika kwa kuandika nambayake baada ya kuitamka kwa usahihi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU