TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA RWANDA YAIFUNGA TANZANIA 2-1


Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania 'Ngorongoro Heroes', Ramadhan Singano akiwatoka mabeki wa timu ya taifa ya Vijana ya Rwanda katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Picha na Habari Mseto Blog.

 Kiungo wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ Omega Seme (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Rwanda, Ruhinda SaifiKwa hisani ya Habari Mseto Blog
Kiungo wa  timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ Omega Seme (kulia) akichuana na mshambuliaji wa Rwanda, Ruhinda Saifi katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Ngorongoro Heroes inajiandaa na mashindano ya  Rwanda ilishinda 2-1.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI