WANAMICHEZO WA TANZANIA KATIKA UZINDUZI WA MICHEZO YA OLIMPKI USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI LONDON UINGEREZA

Wanamichezo wa timu ya Tanzania wakipita na bendera katika uzinduzi wa mashindano michezo ya Olimpiki iliyozinduliwa usiku wa kuamkia leo jijini London nchini Uingereza Crew ya Fullshangwe inawatakia wanamichezo hao mafanikio katika mashindano hayo na wapeperushe bendera ya Tanzania na kurejea na medali nyingi kwa kuiletea sifa nchi yao Tanzania na wao wenyewe
Wanamichezo wa Tanzania wakipita huku wakinyanyua juu vibendera vya Taifa wakati wa uzinduzi wa michezo ya Olimpiki jijini London usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya wanamichezo wakipiga picha katika kijiji cha Olimpki nchini Uingereza. Chanzo; Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA