WANAMICHEZO WA TANZANIA WANAOKWENDA KUSHIRIKI MICHEZO YA OLYMPIC WAKABIDHIWA BENDERA KUIWAKILISHA NCHI UINGEREZA JULAI 27

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala, akimkabidhi Bendera ya Tanzania Samson Ramadhani, kwa niaba ya wenzake (pichani) wanamichezo wanaokwenda kushiriki mashindano ya Olympic nchini Uingereza inayotarajia kuanza Julai 27 mwaka huu. Kulia ni Meneja Mkazi wa Coca Cola , Demeji Olamiyani 
Naibu Waziri wa Habari, Vijana na Michezo, Amos Makala, akiwa katika picha ya pamoja na wanamichezo hao, baada ya kuwakabidhi Bendera ya Tanzania. Chanzo. Sufiani Mafoto Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA