WATATU KUCHUANA UENYEKITI YANGA

                                                                                 Manji

Jambele
KAMATI ya uchaguzi ya klabu ya Yanga imesema mpaka sasa ni wagombea watatu tu ndio wamepitishwa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa klabu hiyo kupitia uchaguzi mdogo utakaofanyika JUlai 15 kwenye ukumbi wa Diamond Jubille jijini Dar es Salaam.

Katibu wa kamati hiyo Francis Kaswahili amelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kuwa ni wagombea wawili tu ndio wanaochuana katika nafasi hiyo.

Kaswahili amesisitiza kuwa wanaowania uenyekiti ni pamoja na Yusuf manji, John Jambele na Edger Chibura.Chanzo; Dina Ismail Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA