YANGA YASAJILI STRIKER LA BURUNDI LILILOWAPIGA MBILI MECHI YA KWANZA

Mshambuliaji wa Atleticon ya Burundi, Didier Kavumbangu (pichani) amesaini Yanga juzi. Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Seif Ahmad 'Magari' ameiambia BIN ZUBEIRY leo kwamba wamemsajili mchezaji huyo na sasa wameimarisha safu yao ya ushambuliaji, yenye wakali wengine kama Hamisi Kiiza na Said Bahanuzi. Kavumbangu ndiye aliyefunga mabao yote mawili katika mchezo wa kwanza wa Kundi C, Yanga ikilala 2-0 mbele ya Atletico, mchezo pekee mabingwa hao wa Kagame kufungwa mashindano ya mwaka huu. Kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI