Blogu mpya ya taarabu yaanzishwa

Asalam alaikum wadau.
Napenda kuwajulisha kwamba nimeanzisha blogu maalumu kwa ajili ya muziki wa taarabu.
Blogu hii inajulikana kwa jina la Rusha Roho na itakuwa ikielekezea mambo mbali mbali
kuhusu muziki wa taarabu, ikiwa ni pamoja na historia ya wasanii wa muziki huo, habari
zinazohusu maonyesho ya vikundi mbali mbali vya muziki huo pamoja na uchambuzi
kuhusu mwenendo wa taarabu. Blogu hii inapatikana kwa anwani ifuatayo:
www.ramozaone.blogspot.com
Nawakaribisha wadau wa muziki huo kutembelea blogu hii na kuchangia mambo
mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa michango ya mawazo.
Natanguliza shukurani.
Rashid Zahor (Ramoza),
mmiliki wa blogu ya liwazozito.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA