CFAO MOTORS YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Biashara wa CFAO Motors Wayne Mcintosh akizungumza na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na CFAO Motors maalum kwa wateja hao katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Sales Administration & Suzuki Brand Manager wa CFAO Motors Bw. Luv Gadvi (kulia) akisalimiana na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena maalum kwa wateja wa kampuni hiyo.Katikati ni Mkurugenzi mpya wa kampuni mpya ya Alliance Motors Bw. Alfred Minja.
Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed (kulia) wakibadilishana kadi na mmoja wa wateja wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya futari iliyodaliwa na kampuni hiyo maalum kwa wateja wake.
Mkurugenzi mpya wa kampuni mpya inayouza magari ya 'Volkswagon Amarok' ya Alliance Motors Bw. Alfred Minja na baadhi ya wateja wa kampuni ya CFAO Motors.
Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa Wateja wa Kampuni hiyo Bw. Zahir Somji kutoka Tanzania Sign writers (kushoto) wakati wa hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa maalum kwa ajili ya wateja wa CFAO Motors katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya CFAO Motors Bw. Azizi Masare akiongoza Swala ya Magharibi kwa baadhi ya Wateja wa Kampuni hiyo wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wateja wa Kampuni CFAO Motors wakipakua futari maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao.
Wa kwanza Kulia ni Tender Manager wa CFAO Motors Bw. Marco Kahabi sambamba na Baadhi ya Wateja wa kampuni hiyo wakila futari.
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Wateja na wafanyakazi wa CFAO Motors wakifurahia burudani ya mcheza shoo wa kiarabu alipokuwa akipita kila meza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa kwa wateja wa kampuni hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Wateja wa CFAO Motors wakionekana kuvutiwa na burudani hiyo.
Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya CFAO Motors Bw. Aldo Pagan (kushoto) akifafanua jambo kwa baadhi ya wateja wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na CFAO Motors katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI