CRDB YAFUTURISHA JIJINI TANGA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni mstaafu, Chiku Galawa akipeana mkono na Meneja Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga mjini, Halima Dendegu.(Picha na Habari Mseto Blog)
Maofisa wa Benki ya CRDB
Meneja wa CRDB Tawi la Tanga, Evalist Mnyele (kulia) akiwa na Maofisa wa Benki hiyo wakati wa hafla ya kufuturisha. iliyofanyika jijini Tanga.
Baadhi ya wageni wakipata futari.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA