HARAKATI ZA UCHAGUZI WA CCM WILAYA NA MKOA WA LINDI WAANZA.
Mgombea Uenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini,Muhsin Rafii Ismail akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya Wanachama wa CCM Wilaya hiyo kumchagua kuwa Mwenyekiti 2012-2017...Anayekabidhi ni Katibu wa CCM -Lindi Mjini,Bw Mohamed Kateva Anayeshuhudia ni Katibu Msaidizi wa CCM Lindi mjini.
Katika heka heka hizo Ngazi ya wilaya Mwenyekiti mtetezi wa nafasi hiyo Bw Manyanya Mohamed Nasib nae amechukua fomu kutetea kiti chake Huku Muhsin Rafii akitupa karata yake kwa Mara ya pili kugombea Nafasi hiyo baada ya Kushindwa katika Uchaguzi wa mwaka 2007.

Naye Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania ambae Pia ni Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Bwana Ally Mohamed Mtopa amechua fomu kutetea nafasi yake hiyo Mjini Lindi.

Muhsin Rafii Ismail akifika katika Jengo la CCM Mkoa wa Lindi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba Uenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi Mjini.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.