JK AHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI NYUMBANI KWAKE IKULU

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa amepokea fomu kutoka kwa Kamishna wa Sensa Tanzania, Amina Mrisho, tayari kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi nyumbani kwake Ikulu, Dar es Salaam leo. Rais na familia yake walihesabiwa kwa siri  na Karani wa Sensa, Clement Ngallaba. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Rais Kikwete na mkewe Mama Salma wakiondoka kwenda chumba maalumu kwa ajili ya kuhesabiwa
Rais Jakaya Kikwete akihamasisha wananchi kujitokeza kuhesabia mara baada ya kutoka kuhesabiwa yeye na familia yake, nyumbani kwake Ikulu, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni  mkwewe Mama Salma Kikwete.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA