KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA CHAWAFURUMUSHA KWA MABOMU WACHIMBA KOKOTO WALIOFANYA VURUGU KIGAMBONI DAR


 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiwa wameweka doria katika barabara kuu ya kutoka Kigamboni kwenda Mji Mwema Dar es Salaam leo, baada ya kudhibiti vurugu za wachimba  kokoto wa eneo la Maweni ambao walifunga barabara hiyo kwa mawe kwa zaidi ya masaa natatu na kuchoma matairi wakishinikiza kuruhusiwa kuchimba kokoto.
Baadhi ya mawe yaliyoondolewa barabarani baada ya kuwekwa na wachimba kokoto eneo la Maweni, Kigamboni. Watu kadhaa wanaotuhumiwa kufanya vurugu hizo wametiwa mbaroni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA