KUKOPI NA KUPESTI!!

Jamani hizi chabo ni balaa kwenye chumba cha mtihani

Wakati mwingine yuko bize anaumiza kichwa darasani mwingine kiurahisi anahamisha tuuu..!

Chabo kwa akina dadaz kwa pajaz..aaaah eti ndomana wanafaulu sana siku hizieeeeeeeh!!!?

Una ujasiri wa kukusachi hadi huku wanafunzi 150?...mmmh

Dah 'kibomu' kimenaswapo....

Wale wa kanuni...leoleo..

Hata pale simu zilipo katazwa kutinga chumba pepa uhamishaji uliendelea kama kawize...

Huko nchini japani wasimamizi wa mitihani huingia na vifaa maalumu vya kufanyia ukaguzi kugundua vifaa vya elektoniki kwa watahiniwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA