KWA HERI MHANDISI MTEBE

 Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mhandisi Wilfred Maligo Mtebe (60), ambaye alikuwa anafanya kazi Kampuni ya Jandu Plumbers, Dar  es Salaam. alifariki Agosti 15 mwaka huu baada ya kuugua kiharusi. aliagwa nyumbani kwake marehemu Tabata Liwiti na kuzikwa katika makaburi ya  Tabata Segerea.



                                            Mjane wa marehemu, akiaga
Mjane Marry Temu akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA