MAADHIMISHO YA 10 YA JUMUIYA YA WAHANDISI KUFANYIKA SEPT 6-7

 Mwenyekiti wa Bodi ya usajili wa wahandisi nchini Mhandisi Prof. Ninatubu Lema (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya 10 ya jumuiya ya wahandisi kuanzia tarehe 6-7 mwezi wa tisa mwaka huu. Kwa mwaka wa fedha 2011/12 Bodi hiyo iliweza kuwafutia usajili wahandisi 164 ambao walikiuka maadili ya kazi na kusimamisha miradi 12 kutokana na ukiukwaji wa kanuni za uhandisi na taratibu za kiujenzi. Kulia ni Msajili wa Bodi Mhandisi Steven Mlote.
Mwenyekiti wa Bodi ya usajili wa wahandisi nchini Mhandisi Prof. Ninatubu Lema (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu sherehe za maadhimisho ya 10 ya jumuiya ya wahandisi yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia tarehe 6-7 mwezi wa tisa mwaka huu. Kulia ni Msajili wa Bodi Mhandisi Steven Mlote na Kushoto ni Msajili Msaidizi Mhandisi Benedict Mukama.Picha na Anna Nkinda – Maelezo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA