Mahojiano na Aminiel Johnson Mzava. Pauline Johnson Mzava na Pastor Faye Chandler Washington DC wakiongelea uvumbuzi wa nyimbo za Injili.

  
Pauline Johnson Mzava (Kushoto) pamoja na Pastor Faye Pastor Faye Chandler, wakiimba nyimbo za injili ndani ya studio yao iliopo Washington DC.
Johnson Mzava akipata picha ya pamoja na mdhamini wa pendolake katikati pamoja na Pastor Faye Pastor Faye Chandler, wa kwanza kushoto pamoja na dogo Barack Johnson Mzava aliebebwa!
Johnson Mzava almarifu Aminiel, akizungumzia historia yake kwa ufupi, pamoja na uzinduzi wa Album ya nyimbo za Injili wakiwa pamoja na mdhamini wa pendo lake Pauline Johnson Mzava pamoja na pastor Faye Chandler jiji Washington DC Nchini Marekani  (Picha na http://swahilivilla.blogspot.com/)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA